Ujenzi wa mashimo ya choo Cha kisasa.

Introduction

Ujenzi makini Tanzania tunajihusisha na ujenzi wa mashimo ya choo Cha kisasa yasiyojaa maji taka. Kwa gharama rafiki sana, pia tunatoa huduma zifuatazo kuweka mfumo wa mabomba ya maji safi na maji taka pamoja na mfumo wa umeme. Huduma ni bora karibu tukuhudumie 

0764818581 / 0710765100

Task

Tunafanya kazi ndani ya Daresalaam na nje ya Daresalaam hizi ni baadhi ya kazi tumezofanya; 👉 https://www.instagram.com/p/CmqyoNvI7qU

Na Facebook tupo 👉 https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid02sozs5yGLGQZDrbDBmGYLeUoz2wCB82qdtev28PAcDyQAiFk2e2BQgZnivVvMmQhHl&id

Facebook na Instagram tunapatikana kwa jina la UJENZI MAKINI TANZANIA.

Process

Utaratibu wa kazi na gharama zake.

Gharama ni 700,000/ mteja utaandaa vifaa ambavyo utatajiwa au 1,300,000/ hapa tutaandaa kila kitu sisi.... Kazi inafanyika ndani ya siku 5 tu kama hakutatokea changamoto yoyote.

Evaluation

Mteja kwetu ni boss, kwa kazi nzuri na bora Karibu ujenzi makini Tanzania.

Conclusion

Mwisho kama sio tumemaliza kila kitu. Ujenzi makini Tanzania Huwa tunatoa OFA mteja akimleta mteja atapata kifuta jasho 100,000/ papo hapo baada ya makubaliano